Timu ya kwanza kutoka bara la Afrika kucheza kombe la dunia huko Brazil Cameroon imeshindwa kutamba mbele ya Mexico baada kukubali kulala 1_0 katika pambano hilo ambalo lilikuwa la kufungua ndoto mpya kwa timu kutoka Afrika endapo ingeshinda mechi hiyo.
Cameroon ambayo ilikuwa ikiongozwa na mshambuliaji wao Samweli Et'oo huku wakipata nafasi chache ambazo hazikuweza kuzaa matunda huku ikionyesha Mexico kuumudu mchezo huo kwa kuwazidi ujanja Wacamerooni hao.
Katika kundi hilo ambalo limewajumuisha wenyeji Brazil, Crotia, Cameroon na Mexico huku Barazil na Mexico zikiongoza kwa pointi tatu(3)